Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, January 2, 2012

KONYAGI watoa msaada kwa wahanga wa Mafuriko.Kikundi cha Konyagi Cocioty chaonyesha ukakamavu ktk kugawa misaada!!Diwani wa Kata ya MKigogo Mr Chengura akipokea akikabvidhi msaada kwa Mwathilika wa Mafuriko yaliyo tokea jiojini Dar es salaam.Alifanya hivyo baada ya kupokea kutoka kwa Benadeta Daudi ambaye ni Mwakilishi wa Kampuni ya Konyagi kupitia kikundi cha uhamasishaji cha konyagi

Wana kikundi cha Konyagi Cocioty Hadikieleweke wakipiga picha na wahanga hao


Watoto walichangamkia mipira iliyo tolewa na Konyagi

Mtoto john akiogopa kamera yetu.naye ni sehemu ya waathilika wa Mafuliko

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...