Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, January 6, 2012

BREAKING NEWS: MADAKTARI WA HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI WALIOGOMA WAPEWA BARUA ZA KUTIMULIWA KAZIDr. Masele Lucas akizungumza wakati wa kudai madai yao ya msingi leo wamepewa barua za kutimuliwa kazi katika hospitali hiyo
Baadhi ya Madaktari na Wafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa mwaka mmoja hospitari ya Taifa Muhimbili wakiwa katika mkutano na viongozi wa Wizara ya Afya na hospitali hiyo Dar es salaam baada ya kugoma kwa kutolipwa posho zao kwa mda wa mwezi mmoja na leo wamepewa barua za kufukuzwa kazi wote
Dr. Flank Kagolo akimwaga cheche zake wakati wakiwa katika harakati za kuomba stahiki zao leo wametimuliwa kazi kwa kupewa barua za kufukuzwa rasmi
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospital ya Taifa Muhimbili Dkt. Mariana Njelekelo (kulia) akizungumza na baadhi ya viongozi wa Madaktari na Wafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa mwaka mmoja katika hospitari hiyo ambao waligoma baada ya kukosa mshahara wa mwenzi mmoja Dar es salaam na leo kupewa barua kwa ajili ya kufukuzwa kazi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...