Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, January 15, 2012

WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DAR ES SALAAM WAKATANISHWA KATIKA BONANZA LA TIGO


Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya UDSM ,Simba Kilumbi akitafuta jinsi ya kumtoka mchezaji wa chuo cha IFM wakati wa bonanza la vyuo vikuuu Dar es salaam jana


Wachezaji wa Netbol wa chuo cha IFM wakipasha misuri moto kabla ya kuingia uwanjani


Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya UDSM ,Simba Kilumbi akitafuta jinsi ya kumtoka mchezaji wa chuo cha IFM wakati wa bonanza la vyuo vikuuu Dar es salaam janabaadhi ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali jijini Dar es salaam wakiangalia mpira


hapa kazi tuuu

watu wanapashaaaa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...