
33 akiimba wakati wa utambulisho wa Charlez Baba katika Bendi ya Mashujaa kwenye Ukumbi wa Busness Victora Dar es Salaam

Charlez Baba akiimba mara baada ya kutambulishwa rasmi mashujaa Musica

Jose Mara akimtunza 33

Kalala Junia akimtunza Charlez Baba

Chokoraha akimtunza Charlez Baba

Macha watau,Fagason na Charlez Baba wakikumbushia enzi hizo wakiwa bendi fulani

Chokoraha na Charlez wakiimba

Kalala Ju nia akiimba na Charlez

Charlez Baba akiimba na Jose Mara

Fagason akisema jambo juu ya Chokoraha

Fagason akirap wakati wenzake wakicheza
No comments:
Post a Comment