Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 5, 2012

SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 48 YA MAPINDUZI ZANZIBAR ZAANZA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Moh'd Aboud Moh'd akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umwagiliaji Maji na Mazingira huko kianga Wilaya ya Magharibi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Moh'd Aboud Moh'd akifungua Kizuizi cha Maji kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umwagiliaji Maji na Mazingira huko kianga Wilaya ya Magharibi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...