Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, January 30, 2012

KCB TANZANIA YAZISAIDIA HOSPITALI ZA BUGURUNI NA CCBRT VIFAA TIBAMwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania DK Edmund Mndolwa akizngumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Vitanda vya wajawazito kwa hospitali ya Buguruni vya Zaidi ya shilingi milioni Nane jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania, DK Edmund Mndolwa (kushoto) akimkabidhi moja ya kitanda cha kujifungulia wajawazito, Daktari Mfawidhi wa hospitali ya Buguruni, Hawa Lesso wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya hospitali hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Wengine katikati ni Mkurugenzi wa KCB, Moezz Mir na Mwenyekiti wa Hospitali hiyo Fatma Faki


Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania, Edmund Mndolwa akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 13 Mkurugenzi msaidizi wa hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla kwa ajili ya kununulia vifaa mbalimbali vya hospitali wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mwingine ni Mkurugenzi Mtendaji wa wa KCB, Moezz
Mkurugenzi wa Mtendaji KCB Tanzania, Moezz Mir akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 13 Mkurugenzi Msaidizi wa hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla kwa ajili ya kununulia vifaa mbalimbali vya hospitali wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania, DK Edmund Mndolwa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...