Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, January 11, 2012

TIMU YA TAIFA YA NGUMI YAENDELEA KUJINOA

Kocha wa timu ya taifa ya mchezo wa ngumi, Edward Lyakwipa (kushoto) akimwelekeza bondia, Mohamed Abdul jinsi ya kuikwepa ngumi uku ukiwa
kwenye gadi wakati wa mazaoezi ya kambi hiyo iliyopo uwanja wa ndani ya taifa Dar es salaam.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspopt.com)


Baadhi ya mabondia wa timu ya taifa ya Masumbwi wakifanya Mazoezi ya pamoja katika kambi yao iliyopo Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam leo.9Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...