Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, January 27, 2012

BUNGE SC NA TWIGA STARS WAPIMANA NGUVU WATOKA 2-1


Kulia Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Kawe Halima Mdee
.(PICHA ZOTE NA FRANCIS DANDE)
Mshambuliaji machachari wa Bunge FC Adam Malima akimtoka beki wa Twiga Stars .
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimina na Mbunge wa Kawe Halima Mdee kulia ni Mbunge wa Kinondoni Idd Azzan kabla ya mechi hiyo ya hisani kuanza.
Mshambuliaji wa timu ya Bunge SC,Adam Malima, akimtoka beki wa timu ya Twiga Stars , Siajabu Hassan, wakati wa mchezo wa hisani uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam jana jioni.Twiga Stars ilishinda 2-1.

Waziri wa Habari , Vijana ,Utamaduni na Michezo Emmanuel Nchimbi , akipeana mkono na mshambuliaji wa Twiga Stars
Nahodha wa timu ya Twiga Stars , Sophia Mwasikili akionesha kitita cha sh. Milioni 7 baada ya kukabidhiwa na Naibu Waziri , Ummy Mwalimu (Kulia).
Wanahabari wakiwa kazini.
Kikosi cha timu ya Wanawake Tanzania Twiga Stars wakiwa katika picha ya pamoja.
Kikosi cha timu ya Wabunge wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...