Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, January 27, 2012

MTOTO ALIYEZALIWA MAHABUSU AENDELEA KUSOTA MAHABUSU NA WAZAZI WAKE


Mtoto Azra, akiwa amepakatwa na Baba yake mzazi akiwa na Mama yake mzazi wakati walipokuwa nje ya Mahabusu ya Mahakama Kuu jijini Mbeya wakati walipofikishwa kwa ajili ya kusikiliza kesi yao inayowakabili kwa kukutwa na madawa ya kulevya.
Mtoto Azra, akiwa amepumzika kwa usingizi akiwa amepakatwa na mzazi wake Mahakamani hapo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...