Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, January 6, 2012

KALAMA NYILAWILA AJIFUA KUMKABILI FRANSIC CHEKA


Bernald Lumbila Kushoto akifanya mazoezi ya pamboja na bondia Kalama Nyilawila Nyilawila anajiandaa na mpambano wake dhidi ya Fransic Cheka januar 28
Kalama Nyilawila akijifua katika GYM ya Sinza MakaburiMsimamizi wa Mchezo wa ngumi katika kambi iliyopo sinza
makaburini, Bernald Lumbila (kushoto) akimwelekezai bondia Kalama Nyilawila jinsi ya kupiga ngumi katika mbavu Dar es saam Nyilawila anajiandaa na mpambano wake dhidi ya Fransic Cheka januar 28
Kalama Nyilawila akijifua

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...