Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, January 29, 2012

MAKAMU WA RAIS NA WAZIRI MKUU KATIKA MKUTANO WA MUUNGANO NA SENSA


Makamu wa Rais Dkt, Mohammed Gharib Bilal, Waziri mkuu, Mizengo Pinda na makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi wakitoka kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl- Ubungo Plaza jijini Dar es salaam Januari 28, 2012 kuhudhuria kakao cha kujadili Muungano (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongoza kikao cha kujadili maandalizi ya sensa kilichofanyika Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Januari 28, 2012. Wanne kulia ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...