Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, January 4, 2012

STAR MEDIA WAUAGA MWAKA 2011 NA KUUKARIBISHA 2012 KWA SHEREHE.wafanyakazi waliofanya vyema katika kipindi cha mwaka 2011 walitunukiwa vyeti vya pongezi
mambo ya misosi yalikuwa kamili na watu walikula na kusaza.
Meneja Mkuu wa Biashara wa TBC, Joe Rugalabamu akitoa neon la shukrani kwa niaba ya mwenyekiti wa bodi ya Sart Media Clement Mshana.
Naibu Mkurugenzi wa Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCR), Fredrick Ntobi, akitoa neon la shukrani kutoka TCRA.
Ofisa Mtemndaji Mkuu wa Star Media (T)Ltd…..akifungua shampein kwaajili ya kupongezana na wafanyakazi wa kampuni hiyo jijini Dar es salaam hivi karibu. Tafrioja hiyo ilifanyika katika ukumbi wa New Msasani Beach Club Dar es Salaam na kuwahusisha wafanyakazi na familia zao

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...