Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, January 8, 2012

HENRY MDIMU NA ANGEL PETER WAMELEMETAMwandishi wa Habari za Burudani na Michezo wa Mwananchi ambaye pia ni Mtangazaji wa Times FM "Kituo cha Kazi" Henry Mdimu pichani maarufu kama Zee la Nyeti jana aliamua kukubali yaishe pale aliupofunga ndoa yake takatifu na mwanadada Angel Peter. Mdimu aliwavunja watu mbavu wakati wa tafrija hiyo pale wakati wa utambulisho alipomsimammisha mama yake mdogo na kudai kuwa enzi ya utoto wake aliwahi kimbia sindano Hospitali na kumwachia malapa mama yake huyo chumba cha sindano. Pia alipomtambulisha mjomba wake alidai siku moja alikamata vijana walio mtania Mdimu na kuwapa adhabu ya kuosha vyombo nyumbani kwao.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...