Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, January 15, 2012

JK ATEMBELEA MABWE PANDE, AAGA MIILI YA WANAJESHI WA WAWILI LEO

JK ATEMBELEA MABWE PANDE, AAGA MIILI YA WANAJESHI WA WAWILI LEO

Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakioneshwa maeneo ya makazi mapya ya walioathirika na mafuriko katika bonde la Msimbazi walipotembelea eneo hilo leo..
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakioneshwa maeneo ya makazi mapya ya walioathirika na mafuriko katika bonde la Msimbazi walipotembelea eneo hilo leo..

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea seti ya vyombo vya nyumbani na taa inayotumia nguvu za jua toka kwa Mkurugenzi wa Home Shopping Centre Bw Gharib Saidi Mohamed ambaye kampuni yake imejitolea kugawa seti kama hizo pamoja na taa kwa kila familia 655 zilizohamishiwa Mabwepande baada ya kuathirika na Mafuriko katika bonge la Msimbazi. Bw Gharib pia ameahidi kujenga shule ya msingi ya eneo hilo pamoja na kituo cha polisi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...