Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 12, 2012

RAIS MAMA SALMA KIKWETE AWAANDALIA SHERRY PARTY WAKE WA MABALOZI


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba kwa wake wa mabalozi nchini waliohudhuria katika hafla maaluumu ya mwaka mpya 2012 katika viwanja vya Ikulu jijini Dra es salaam jana Januari 11,2012.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto) akisikiliza hotuba kutoka kwa Mke wa Balozi wa Kenya nchini Naomi Mutinda Mutiso ambae amemuwakilisha Kiongozi wa wake wa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania hayupo pichani,katika hafla hiyo ya kutakiana heri na kuukaribisha mwaka 2012 iliyoandaliwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete Jan,11,2012 katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam,
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya wake wa mabalozi katika sherry party Jan 11,2012 katika viwanja vya Ikulu jijijni Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana na mke wa Balozi wa Libya nchini Madame Najaat Abeid katika viwanja vya Ikulu alipohudhuria hafla ya kusherehekea mwaka 2012 jana
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa wake wa Mabalozi,
Picha ya pamoja ya baadhi ya wake wa mabalozi waliohudhuria katika hafla ya kila mwaka ya Sherry Party iliyoandaliwa ma mke wa Rais Mama Salma Kikwete Jan.12.2011 katika viwanja vya Ikulu,jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...