Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, January 27, 2012

ZANTEL YAZINDUA HUDUMA YA EZY PESA JIJINI DARNaibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Juma Reli (kushoto ) akishikana mikono na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Zantel Tanzania, Ali Bin Jarsh wakati wa uzinduzi wa huduma za kifedha kwa kutumia simu ya mkononi ya Ezy Pesa ya kampuni ya Zantel jijini Dar es Salaam jana jioni. Katikati ni Ofisa Biashara Mkuu wa Zantel, Ahmed Mokhels.
Ofisa biashara Mkuu wa Zantel, Ahmed Mokhels (kutoka kushoto), Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Ali Bin Jarsh, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Charles Kitwanga na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Taifa, Balozi Charles
Mutalemwa wakizundua huduma za kifedha kwa kupitia simu za mkononi ya Ezy Pesa ya Zantel jijini Dar es Salaam jana jioni
Wasanii wa Tanzania House of Talent, wakitumbuiza wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma za kifedha kwa kutumia simu ya mkononi ya Ezy Pesa ya kampuni ya Zantel jijini Dar es Salaam jana jioni
Ofisa Biashara Mkuu wa Zantel, Ahmed Mokhels (kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma za kifedha kwa kupitia simu za mkononi ya Ezy Pesa ya Zantel jijini Dar es Salaam jana jioni. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Shirika la Bima la Taifa, Balozi Charles Mutalemwa, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Ali Bin Jarsh na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Charles Kitwanga.

2 comments:

 1. I love іt ωhen peοplе gеt
  togеther аnd share iԁeas. Gгeat website, κeep it up!
  My page > options trading online

  ReplyDelete
 2. Greаt work! This is the type of info that are supposeԁ to
  be shared aгound the web. Shаme
  on the ѕeаrch engines foг no longer pοsitionіng this put up upper!
  Come on οver and seek advice from my sіte . Thanκ you
  =)
  Also visit my webpage ; forex trading information

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...