BEKI
wa Yanga Kelvin Yondan atalazimika kukaa nje ya dimba kwa wiki mbili
ili kujitibu mfupa wa goti alioumizwa na kiungo wa Simba, Haruna Moshi
'Boban' katika pambano la timu hizo lililofanyika juzi kwenye Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam.
Daktari
wa Yanga, Juma Sufian amesema kwamba baada ya kufanyiwa uchunguzi,
Yondan alionekana kupasuka mfupa uitwao kitaalam Fibula, na hivyo kupona
kwake itachukua wiki mbili.
No comments:
Post a Comment