Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, October 3, 2012

KIWANDA CHA MANSOOR DAYA CHATIMIZA MIAKA 50


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua utengenezaji dawa za binadamu wakati alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha  Mansoor Chemicals Limited cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50, Oktoba 2, 2012. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Mansoor Daya.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha moja ya mtambo wa kutengeneza dawa wakati alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2, 2012. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Mansoor Daya.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bwana Mansoor Daya (kulia kwake ) na familia yake baada ya kutembelea na kuzungumza wafanyakazi na waalikwa wa kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals Limited cha jijijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bwana Mansoor Daya

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...