Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 4, 2012

TIGO SARAKASI MAMA AFRICA YAWAKUNA WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI DAR

Maonesho ya tigo Sarakasi Mama Africa yakienderea kwa kurusha matairi meza kwenda meza maonesho hayo ya leo yalikuwa kwa ajili ya wanafunzi wa shule mbalimbali za wanafunzi wa Sekondari za Dar es salaam
Wasanii wa bendi ya Inn Africa wakitumbuiza wakati wa maonesho hayo
SARAKASI ZIKIONESHWA
Maonesho ya sarakasi yakienderea
Wanafunzi wa shule mbalimbali wakishindana kucheza baada ya kumalizika kwa maonesho hayo
Baadhi ya wanafunzi wakishangilia wakati wa maonesho ya sarakasi yakiendelea
Washindi wa kucheza wakiselebuka baada ya kukabiziwa zawadi zao wakati wa maonesho ya Tigo Sarakasi mama Africa yaliyofanyika kwa ajili ya wanafunzi wa mkoa wa Dar es salaam

WASHINDI WA KUCHEZA KATIKA SHAMRA SHAMRA ZA TIGO SARAKASI MAMA AFRICA WANAFUNZI KUTOKA MAKONGO WAKICHUKUA ZAWADI ZAO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...