Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 25, 2010

Dk. Mohamed Gharib Bilal afanya kampeni Bukoba


Mke wa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Bi Zakia Bilal, akicheza wimbo wa kabila la Kihaya na Msanii Bahati Ibrahim, aliyekuwa akitoa burudani wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa wa Mayunga Mjini Bukoba leo
Mgombea Mwenza wa Urais Kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifurahia staili za msanii mlemavu, Athuman Yunus, aliyekuwa akicheza ngoma ya kabila la Kihaya, wakati wa mapokezi yake alipokuwa akiingia Kijiji cha Ruzinga Kanyigo Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera kufanya mkutano wa kampeni leo
Mgombea Mwenza wa Urais Kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimvisha kofia yake msanii mlemavu, Athuman Yunus, baada ya kufurahishwa na staili zake za uchezaji wa ngoma ya kabila la Kihaya, wakati wa mapokezi yake alipokuwa akiingia Kijiji cha Ruzinga Kanyigo Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera kufanya mkutano wa kampeni leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...