Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, September 7, 2010

KESI YA DKT SLAA YATINGA MAHAKAMA KUU DAR ES SALAAM
Karani wa Kampuni ya Wakili Amicus Attorneys Bw. Tito Emanuel, akiwa na nyaraka baada ya kufungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es salaam inayomkabili Dkt. Wilbrod Slaa baada ya kumtangaza hadharani Bi.Josephine Mkatunzi Mushumbusi kuwa mke wake mtarajiwa wakati ni mke wa Bw.Aminiel Chediel Mahimbo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...