Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 13, 2010

TANZANIA YAINGIA MKATABA NA USA KUBOLESHA MIUNDOMBINU YA UMEME KWA MIKOA SITAMkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Changamoto za Milenia Tanzania. MCA-T Bw. Bernard Mchomvu (katikati) akizungumza leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kuzalisha umeme SYMBION ya Marekani Bw. Paul Hinks, wakati wakutiliana saini mkataba wa uboleshwaji wa miundombinu ya Umeme kwa mikoa sita ya Tanzania bara kushoto ni Dr. Medard Kalemani

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...