Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 23, 2010

BILAL AMALIZA KAMPENI MKOA WA KIGOMA
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib, akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Kanazi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Luganzo uliopo Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera jana Sept 22, ambapo leo ameanza ziara ya mikutano ya kampeni katika mkoa huo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...