Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 12, 2010

MANZENSE YAKUMBWA NA AJARI YA MOTO KATIKA JENGO MOJA

wakazi wa maeneo ya jirani na pamoja na waliokuja kushuhudia tukio hilo,wakiwa katika msongamano kwenye njia iliyokuwa inaelekea katika tukio hilo la moto lililotokea leo,manzese kwa bahresa,jijini dar
jengo hilo likiendelea kuteketea kwa moto huku juhudi za kuuzima moto huo zikendelea kutoka kwa kampuni ya ultimate security baada ya zile gari za faya kuishiwa maji katikati ya tukio huku watu kibao wakishuhudia tukio hilo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...