Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 5, 2010

BALOZI WA REDD'S MISS TANZANIA YAFANYIKABaadhi ya Warembo watakaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010,ambao pia usiku wa kuamkia leo walikua katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Balozi wa Redd's 2o1o katika fukwe za Mbalamwezi Beach Mikocheni jijini Dar,Wageni waalikwa mbalimbali walihudhulia tukio hilo.mshidi atatangazwa siku ya Mashindano ya Miss Tanzania tarehe 11/09/2010 na atakabidhiwa zawadi zake siku hiyo.

PICHA KWA HISANI YA MTAA KWA MTAA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...