Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 9, 2010

ZANTEL YATOA MKONO WA IDDI ZANZIBAR


Meneja Mauzo wa Zantel Zanzibar Mohammed Mussa akimkabidhi vyakula na Zawadi Bi. Zakia Mohamed Haji Mama Mlezi wa Jumba la Kulelea Watoto Mazizini, Zanzibar. Zantel wametoa Zawadi hizi kwa ajili ya sherehe ya Eid Il Fitr
Mlezi wa Jumba la Kulelea Watoto Mazizini, Zanzibar Bi. Zakia Mohamed Haji akitoa shukrani kwa niaba ya watoto kwa Meneja Mauzo wa Zantel Zanzibar Mohammed Musa baada ya kupokea msaada wa vyakula na zawadi kutoka Zantel kwa ajili ya sikukuu ya Eid Il Fitr.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...