Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, September 10, 2010

MREMBO WA MISS TANZANIA KUJULIKANA KESHO


SHINDANO hilo la kusaka taji la mrembo wa Tanzania ambalo limedhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi Vodacom, litarindima Jumamosi wiki hii, katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam., je nani unamtabiria kuibuka na taji kati ya walimbwende hawa?

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...