
Mkaanga chips wa sikinde akikunguta Drams

Wasanii wa sikinde wakitumbuiza kushoto ni Hassani Kunyata na Mjusi Shemboza

Wasanii wa bendu ya Sukunde wakiwaburudisha wapenzi wao kushoto ni Yusufu Bernad na John Ngosha

waumbaji wa bendi ya sikinde ngoma ya ukae wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo Dar es salaam jana kushoto ni Shabani DEde na Hassani Rehani Bichuka
No comments:
Post a Comment