Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 9, 2010

MSIMU WA UNUNUZI WA KOROSHO KUHANZA RASMI SEPT 15Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa bodi ya KOrosho Tanzania Bw.Mohamed Hanga akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo kuusu msimu wa ununuzi wa korosho wa mwaka 2010 na 2011 kulia ni Kaimu mwenyekiti wa bodi hiyo Bw.Hemed Mkali

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...