Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 18, 2010

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na Ombeni Sefue (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Marekani nje ya Ofisi za Umoja wa Mataifa, Mwanaidi Maajar, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa JFK jijini New York leo mchana kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Millenia. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

3 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...