Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 23, 2010

LIVE CONCERT


Msanii wa muziki wa Injili, John Lisu kushoto akipiga gita mbele ya waandishi wa habari Dar es salaam jana wakati wa kutambulisha tamasha la Sifa zivume live concert litakalofanyika katika ukumbi wa mlimani City jumapili kulia ni Safari Paul katikati ni Mratibu wa onesho hilo, John Kagaruki

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...