Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 4, 2010

WAREMBO WASHEHEEREKEA SIKU YA MICHEZO ILIYOANDALIWA NA VODA


warembo wakishiriki mchezo wa kukimbia ndani ya magunia
warembo wakiwa katika gari la Voda com miss Tanzania 2010
wadau wa urembo wakiwa katika siku hiyo kushoto ni Dina Zuberi Khadija Khalili na Amina Athumani

Baadhi ya warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania wakianza mbio za magunia wakati wa michezo ya Miss Tanzania Sports Day inayofanyika kwenye ufukwe wa Jangwani Sea Breeze Kunduchi shindano hilo litafanyika Septemba 11 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...