Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 12, 2010

VODA COM MISS TANZANIA HUYU HAPA


Meneja Uhusiano wa Scangroup Tawi la Tanzania Bw. Barnabas Lugwisha kulia akipokea cheti kwa niaba ya kampuni hiyo ikiwa ni kutambua mchango wa kampuni hiyo katika kufanikisha shindano la Vodacom Miss Tanzania.
MISS Temeke, Genoveive Mpangala akiwa katika gari aina ya Yundai i10,alilozawadiwa baada ya kuvishwa taji la Vodacom Miss Tanzania 2010,katika fainali za shindano la kumsaka mrembo wa taji hilo, lililofanyika usiku wa kuamkia leo, katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...