Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 1, 2010

ALLY CHOKI ATAMBULISHA NYIMBO MBILI MPYA


Wanenguaji wa Extra Bongo wakionyesha mtindo mpyawa bendi hiyo, 'Kizigo' mbele ya jopo la waandishi wa habari http://bongoweekend.blogspot.com
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo Ally Choki'Mzee wa Kijiko' akiwwatambulisha wanamuziki wa bendi hiyo mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Advantage uliopo Sinza Mori Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...