Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, September 21, 2010

BILALI AWANADI WAGOMBEA TABORA

a
Mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombe ubunge wa Jimbo la Igunga, Rostam Aziz, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Choma Wilaya ya Igunga Mkoa wa Tabora
Mgombea Mwenza wa Urais Kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Tabora mjini, Aden Ismail Rage, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwrnye Uwanja wa Shule ya Sekondari Uyu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...