Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 16, 2010

MASHINDANO YA TAIFA YA POOL YAANZA JIJINI ARUSHA LEO


KIKOSI CHA ILALA AMBAO NI MABINGWA WATETEZI WA MZCHEZO WA POOL TANZANIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

Mchezaji wa timu ya pool Mkoa wa Ilala, Evansi Mushi akijitaalisha kupiga mpira
Arusha LEO wakati wa ufunguzi wa mashindano ya taifa yanayodhaminiwa na bia ya
Safari lager

Mchezaji wa timu ya pool Mkoa wa Kinondoni, Godfrey Muhando akijitaalisha
kupiga mpira Arusha LEOwakati wa ufunguzi wa mashindano ya taifa
yanayodhaminiwa na bia ya Safari lager

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...