Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 25, 2010

USIKU WA KANGA ZA KALE 2010


ASIA IDAROUS FABAK FASHIONS WANAKULETEA (USIKU WA KANGA ZA KALE-2010 ) SIKU YA IJUMAA TAREHE 1 OCTOBA NDANI YA UKUMBIE WA DIAMOND JUBILEE VIP HALL NA BURUDANI YA JAHAZI MODERN TAARAB KWA UDHANIMI WA TUSKER LAGER, MICHUZI BLOG, ANTELOPE TOURS, VAYLE SPRING, EVENTLIGHTS, MYRIAD, BIG SOLUTION, CHANNEL TEN, MAGIC FM, CLOUDS FM, MLIMANI TV, TBC1, I-VIEW PHOTOGRAPHY, SHEAR ILLUSION, NEW HABARI CORPORATIONS, MICHUZIJR BLOG, FULL SHANGWE, 8020 BLOG, ABAYA CENTER, NA GEMA SOUND. NI ONYESHO LA MAVAZI YA KANGA NA VIONJO VYAKE.

NYOTA WAIMBAJI WA TAARAB KAMA KHADIJA KOPA, RUKIA RAMADHAN, SABAH MUCHACHO NA BABY MADAHA WA BSS WATATUMBUIZA PAMOJA NA HAYO WABUNIFU WA MAVAZI PAMOJA NA MASTAR KIBAO WATAPANDA JUKWAANI KUONYESHA MAVAZI YA KANGA.

MADHUMUNI YA ONYESHO HILO NI KUKUZA HADHI YA KANGA KWA NI MOJA YA VAZI LA UTAMADUNI KWA MTANZANIA, KIINGILIO NI 10,000 NA 20,000 KWA VITI MAALUMU, PIA MAVAZI YATAUZWA NA VIONJO VYAKE BAADA YA SHOW.

KARIBUNI NYOTE AKINA MAMA NA AKINA BABA TUFURAHI KWA PAMOJA NA UKIPENDA UJE NA VAZI LA KANGA ASANTENI.

KWA MAWASILIANO KAMA UNATAKA KUUZA KANGA ZAKO AU VIONJO VYAKE PIGA SIMU NO 0713263363 AU 0784263363.

--
Cathbert Angelo Kajuna,
Journalist/Photojournalist,
PRIME TIME PROMOTIONS
(KITANGOMA MAGAZINE)
Plot No 18-21, Block C, Mikocheni
P.O Box 4156,
Dar es Salaam.
Tel: +255 713 797 465
Alt: +255 787 999774
www.michuzijr.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...