Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 13, 2010

MATUMIZI YA AINA MPYA YA LESENI ZA UDEREVA KUZINDULIWA WIKI HII, UTAANZA KWA MIKOA TISA YA KI-POLISI NA TRA


MKURUGENZI wa huduma kwa mlipa kodi, Mamlaka ya Mapato (TRA), Protas Mmandi, akionyesha mfano wa leseni mpya za udereva, makao makuu ya TRA mjini Dar es Salaam, leo. Uzinduzi wa matumizi ya aina hiyo ya leseni utafanyika Jumatano hii. Kushoto ni Ofisa Mnadhimu wa Kikosi cha Polisi wa usalama barabarani, Johansen Kahatano. (Picha na Chachadu Daily Blog).

1 comment:

  1. mimi naona bado kuna utata juu yaleseni hizo wanajichanganya nilidhani wana badili mfumo kutoka kitabu kuwa kadi ya electonic mfumo sifa na madaraja ubaki kama mwingereza alivyo tuachia nakubaliana nao unapobadili usahili ufanyike lakini uo mtindo C C1 C2 C3 haueleweki ni ulaji tu unatafutwa
    kamau mcdgc hq

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...