Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 15, 2010

RIDHIWANI AINGIA KILWA KUPIGA KAMPENI

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Umoja wa Vijana Taifa, Ridhiwani Kikwete, akihutubia katika mkutano Kata ya Tingi, Jimbo la Uchaguzi la Kilwa Kusini,wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi kuanza ziara ya kuweka mikakati ya ushindi wa kimbunga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 31, mwaka huu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Umoja wa Vijana Taifa, Ridhiwani Kikwete, akivishwa skafu na chipukizi Asha Khalifa alipowasili Kata ya Tingi, Jimbo la Uchaguzi la Kilwa Kusini,wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi kuanza ziara ya kuweka mikakati ya ushindi wa kimbunga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 31, mwaka huu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...