Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 13, 2011

wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel wakutana kujadiri hatma yao


Mmoja ya Wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel Omari Sarum akizungumza katika kikao chao cha kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufata taratibu zakazi.(PIcha na Mpigapicha Wetu)
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel wakiangalia makabrasha mbalimbali kabla ya kuanza kwa kikao chao cha kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufata taratibu zakazi.(PIcha na Mpigapicha Wetu)

Mwenyekiti wa wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel. Bw. Raina Mwanyamba akizungumza wakati wa mkutano wao wa kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufata taratibu zakazi.(PIcha na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...