Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 10, 2011

NBC yazindua akaunti mbili zinazofuata maadili ya kiislamu
Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (katikati) akizindua rasmi akaunti mbili za Benki ya NBC ZA wateja wa Makampuni, Mashirika na Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha kwa kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi. Wa pili kulia ni Mkurugen zi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC wa Akaunti za Shariah, wa William Kalaghe.Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akishikana mikono na Mkurugen zi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru wakati wa uzinduzi rasmi wa Akaunti mbili za wateja wake wa Makampuni, Mashirika


na Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha kwa kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi.
Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (katikati) akizungumza Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dr Mussa Assad.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akizungumza.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akitoa maelezo kwa Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto)

Baadhi ya wageni waalikwa wakichukua futari iliyoandaliwa na benki ya NBC kabla ya sherehe za uzinduzi wa akaunti hizo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...