Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 31, 2011

TTCL Yatoa Zawadi Za Idi Kwa Wazee Wasiojiweza Na Watoto Yatima Kilimanjaro

|Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Said Amir Said aliyevaa suti akikabidhi zawadi za siku kuu ya Idi kwa wazee wasiojiweza na watoto yatima mkoani Kilimanjaro. Picha: Issa Michuzi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...