Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, August 21, 2011

BANTU GROUP BAND YAFURAHIA USHINDI WA KUTWAA KOMBE NA TIMU YA WAHENGA INAYOUNDWA NA WACHEZAJI WA ZAMANI KWENYE CLAB YA FREE TOWN SINZA UZURI


Mwanamuziki Mkongwe wa Muziki wa Dansi, Hamza Kalala akilisakata Solo Gitaa wakati wa kutoa burudani kwenye Klabu ya Free Town Manzese Uzuri Darajani jijini Dar es Salaam ambapo pia timu ya Wahenga inayoundwa na wachezaji wa zamani wa Simba na Yanga walipotwaa ubingwa na kuzawadiwa Kikombe kwenye ligi ya Kashilaga Tembe Cup

Mwimbaji wa Bantu Group akiimba

Mpiga Dram wa Bantu Group akifanya vitu vyake

Wachezaji na mashabiki wa timu ya Wahenga wakishangilia huku wakicheza mziki wakati Bantu Group wakitoa burudani

Wahenga wakishangilia

Mkurugenzi wa Free Town Clab akishangilia na Kikombe

Wakishangilia na kucheza

Wakifurahia

Ni shangwe kwenda mbele

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...