Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, August 21, 2011

WAMAMA WANAVYOWAJIBIKA KWENYE KAZI YA USAFI WA JIJIHapa wakifanya usafi katika barabara ya shekilango jijini Dar es Salaam, wamama hawa wanapenda kazi yao sana lakini tatizo kubwa linaliwapata ni ukosefu wa vifaa vya kutendea kazi hiyo ngumu ambayo inahitaji kila siku unaporudi nyumbani upate lita moja la maziwa. Wafanyausafi hawa wanalalamika mishahara kuwa midogo sana.

Vitu vya kutengenezea sabuni ya maji
Mwalimu akisisitiza jambo kwa wajasiliamali wakati akitoa somo

SABUNI NDIO HIYO TAYARI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...