Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 13, 2011

TV YA GBS INAYOTOA MAFUNZO KWA VIJANA YADHINDULIWA KUPITIA STARTIMES

Mchungaji Ock SooPark (kulia) na ni mwanzirishi wa luninga ya GBS inayotoa mafunzo y vijana na akizungumza na Mwenyekiti wa GBS Bw. Park Cheul Young wakati wa uzindudhi wa tv hiyo nchini Dar es Salaam jana kulia ni Mkurugenzi Mtendaji Bw. Heo Yong
Mchungaji. Amos Mushendwa Ofisa Programu wa Maendeleo ya Vijana, Jumuiya ya kikristo Tanzania (CCT) kulia akiwa na Senior Pastor Of Good News Gangnam Church IYF Chiif Advision, Ock Soo Park wakati wa udhinduzi wa tv ya vijana kulia ni mkalimani wake Joseph Park

Baadhi ya warembo waliokuwa wakikaribisha wageni wakitabasamu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...