Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, August 7, 2011

SHIRIKA LA HABARI TANZANIA (SHIHATA) MBEYA LIPO? AU MABANGO TU NA MADUKA YA BIASHARA


Hili ni jengo la shirika la habari Tanzania miaka hiyo ya nyuma kwa sasa haeleweki mmiliki wake na nani anachukua pango la maduka hayo imekua ni kitendawili
Hivi ndivyo Jengo lilivyo choka hakuna anaejali hata kidogo na haijulikani lipo chini ya nani paka muda huu na linaendelea kuoza kadili siku zinavyo sogea.
Picha Zote na - Mbeya yetu Blog
Vitu vimetupwa ovyo katika jengo hilo kama picha hii inavyoonyesha.
Mlango unao onekana hapo umefungwa ndicho chumba cha mikutano mbali mbali

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...