Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 10, 2011

TIGO YAWAZAWADIA ZAWADI ZAO WASHINDI WA PROMOSHENI YA JIPANGE KIMAISHAMwakilishi wa Tigo, Pamela Shelukindo akimkabidhi hundi ya milioni 5 mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha Rogath Enock akitokea Bagamoyo leo Dar Es Salaam.


Mwakilishi wa Tigo, Pamela Shelukindo akimkabidhi hundi ya milioni 5 mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha bw. Yasin Adam akitokea Mbagala leo Dar es Salaam.


Mwakilishi wa Tigo, Pamela Shelukindo akimkabidhi hundi ya milioni 5 mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha bi Judith Kaboko akitokea Mbagala leo Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...