Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 10, 2011

TOP MODEL MISS TANZANIA YAFANYIKA GIRAFFE HOTEL

Warembo 5 kati ya 30 wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, ambao wamefanikiwa kuingia fainali za kusaka taji la TOP MODEL wakiwa wamejipanga mbele ya majaji baada ya kufanikiwa kuingia katika hatua hiyo usiku wa Agosti 9,2011 katika Hotel ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaam. Mshindi wa taji la TOP MODEL atajinyakulia tiketi ya moja kwa moja ya kuingia Nusu Fainali ya Vodacom Miss Tanzania 2011.


Majaji wa shindano hilo wakiumiza vichwa kutafuta mshindi. Warembo wote walikuwa wakati lakini 1 ndo anahitajika. Mshindi wa TOP MODEL anataraji kutangazwa leo katika siku maalum ya Waandishi Wa habari kufanya mahojiano na Washiriki hao wa Vodacom Miss Tanzania katika Hoteli ya Giraffe.


mambo yalianza hapa...Walitisha na kuingia fainalikura za majaji hazikutosha kuwapitisha hawa lakini walifanya vyema....


Huyu alifanikiwa kuingia


hapa kazi ilikuwepo lakini wa kulia alimwacha mwenzake akiingia fainali..


ilikuwa ni kupima uwezo wa washiriki wa lkunadi mavazi...


warembo walitisha sana ...


Baadhi ya warembo wakiwa wameketi baada ya kutangazwa kwa warembo walioingia Fainali. Mshindi atatajwa hapo baade enbdelea kuwa nasi Blogu yenu na tuta wajuza nani kaibuka Kidedea.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...