Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 23, 2011

TAMASHA KUBWA LITAKALOHAMASISHA VIJANA KUACHANA NA MAMBO MBALIMBALI IKIWEMO NGONO ZEMBE KUFANYIKA KAWE


Diwani wa Kata ya Kawe Bw.Othumani Kipeta akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani Dar es Salaam jana kuhusu tamasha litakalohamasisha vijana kuachana na mambo mablimbali ikiwemo ngono zembe,litafanyika mwanzoni mwa mwezi ujao katika viwanja vya Tanganyika Perkers

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...