Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 10, 2011

NSSF YAENDESHA SEMINA KWA WANACHAMA WA TEWUTA
Naibu Katibu Mkuu wa TEWUTA, Chrisostom Agapiti (kushoto) akitoa maelezo ya kuomba chama hicho kujiunga na NSSF, wakati wa semina hiyo.Kutoka kulia ni Ofisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Maife Kapinda na Halima Motto ambaye ni Ofisa Mwendeshaji Mwandamizi wa NSSF.


Mwanachama wa TEWUTA, Ahmed Kaumo kutoka Makao Makuu ya Posta, Dar es Salaam, akichangia mada katika semina hiyo.


Mwanachama wa TEWUTA, Estonic Kalokola kutoka TTCL, akiuliza kuhusu mafao ya uzazi.


Ofisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Maife Kapinda(kushoto), akifafanua jambo kuhusu mafao mabalimbali yanayotolewa na shirika hilo kwa wanachama wao wakati wa semina iliyotolewa kwa baadhi ya wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TEWUTA), mwishoni mwa wiki mjini Kibaha, Pwani.Wanachama wa TEWUTA, wakionesha mshikamano pamoja na maofisa wa NSSF, Maife Kapinga (kulia) na Halima Motto wa pili kulia. wakati wa semina hiyo.No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...